MKUTANO WA BARAZA DOGO LA WAFANYAKAZI NDAKI YA UCHUMI NA STADI ZA BIASHARA

mkutano2 1 57

Mkutano wa Baraza Dogo la Wafanyakazi la Ndaki ya Uchumi na Stadi za Biashara ya Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo (SUA ) ulifanyika siku ya jumatatu tarehe 29/07/2021 kuanzia saa 3:00 asubuhi katika ukumbi wa mikutano wa Ndaki.Kaimu Rasi wa Ndaki ya Uchumi na stadi za Biashara Dr. Philip Damasi aliongoza mkutano huo.

Ajenda mbalimbali ziliwasilishwa ikiwemo  maboresho na upanuzi wa majengo ya Ndaki.

SHARE THIS INFORMATION WITH YOUR FRIEND