LATEST NEWS

LAUNCHING KIZIMBA BUSINESS MODEL (KBM)

LAUNCHING KIZIMBA BUSINESS MODEL (KBM)

09 March 2021
Click here: Launching Kizimba Business Model (KBM)
Readmore
FUATILIA MJADALA ULIORUSHWA KATIKA KIPINDI CHA MIZANI TBC USEMAO SEKTA YA KILIMO KWA MAENDELEO YA TAIFA

FUATILIA MJADALA ULIORUSHWA KATIKA KIPINDI CHA MIZANI TBC USEMAO SEKTA YA KILIMO KWA MAENDELEO YA TAIFA

15 February 2021
Karibu ufuatilie mjadala uliorushwa mbashara tarehe 10/2/2021   kupitia televisheni ya Taifa (TBC) na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Prof.Raphael Chibunda pamoja na Amidi wa Shule kuu ya Uchumi Kilimo na Stadi za Biashara Dr. Philip Damas katika mada isemayo “Sekta ya Kilimo kwa Maendeleo ya Taifa “. Mwendesha kipindi ni alikua ni Dkt.Ayub Rioba Chacha ambae ni Mkurugenzi wa shirika la Utangazaji Tanzania (TBC)....
Readmore
Read SAEBS Outlook Newsletter -third Quarter 2020

Read SAEBS Outlook Newsletter -third Quarter 2020

11 February 2021
Dear Readers On behalf of SAEBS, the Department of Food & Resource Economics, would like to share with you the third issue of SAEBS outlook for 2019-2020. This outlook is a continuation of work initiated by Dr. Felix A. Nandonde, currently Director for Production and marketing in the Ministry of livestock & Fisheries. Dr.Nandonde who was the editor of this SAEBS outlook is really appreciated. We promise to honor his diligent efforts. We t...
Readmore
SEMINA CHANGAMOTO ZA UUZAJI WA NYANYA NA MBINU ZA KUTAFUTA MASOKO

SEMINA CHANGAMOTO ZA UUZAJI WA NYANYA NA MBINU ZA KUTAFUTA MASOKO

10 February 2021
  Amidi wa Shule Kuu ya Uchumi Kilimo na Stadi za Biashara (SAEBS) anakualika katika semina fupi juu ya uuzaji na utafutaji wa masoko ya mazao ya mbogamboga. Mwasilishaji wa mada ni Bw. Elisha Otaigo, mjasiriamali katika kilimo biashara. Bw. Otaigo Elisha (31), ni mhitimu wa Shahada ya Uchumi wa Kilimo na Kilimo Biashara (BSc AEA) katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) mwaka 2013. Mwaka 2016 nilijiunga na Chuo Kikuu cha Bogor (IPB) n...
Readmore
MBASHARA –TBC KUTOKA CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO

MBASHARA –TBC KUTOKA CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO

10 February 2021
Karibu katika kipindi kitakachorushwa hewani leo tarehe 10/2/2021 saa tatu usiku  kupitia televisheni ya Taifa (TBC) tuwasikilize Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Prof.Raphael Chibunda pamoja na Amidi wa Shule kuu ya Uchumi Kilimo na Stadi za Biashara Dr. Philip Damas katika mada isemayo “Sekta ya Kilimo kwa Maendeleo ya Taifa “. Mwendesha kipindi ni Dkt.Ayub Rioba Chacha ambae ni Mkurugenzi wa shirika la Utangazaji Tan...
Readmore