Karibu kwenye Sherehe za Maonesho ya 25 ya Nanenane 2017 banda la Shule ya Uchumi Kilimo na Stadi za Biashara

Sherehe za maonesho ya 25 ya Nanenane 2017 kanda ya Mashariki, Morogoro banda la Shule ya Uchumi Kilimo na Stadi za Biashara (SAEBS). Tunakukaribisha upate maelezo ya shughuli zote zinazofanywa na Shule ya Uchumi Kilimo na Stadi za biashara kama

  • Kozi mbamlimbali zinazotolewa na Shule ya Uchumi Kilimo na Stadi za Biashara za Shahada na Stashahada (Bachelor, Master and PhD)
  • Ushauri wa kibiashara hasa za Kilimo
  • Jinsi ya kuomba kujiunga na Shule ya Uchumi Kilimo na Stadi za biashara na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) kwa Ujumla.
  • Mambo mengine utakayopenda kufahamu kuhusu Shule ya Uchumi Kilimo na Stadi za Biashara.

Tunakukaribisha sana na tunakuthamini, karibu tukuhudumie

 

DSC02618

Wafanyakazi wa Shule ya Uchumi Kilimo na Stadi za Biashara wakiwa tayari kukuhudumia utakapoingia banda la Uchumi Kilimo na Stadi za Biashara jengo la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Morogoro

DSC02637

Wageni mbalimbali wakipata maelezo kutoka kwa wafanyakazi wa Shule ya Uchumi Kilimo na Stadi za Biashara kwenye siku ya ufunguzi wa sherehe za 25 za maonesho ya Nanenane kanda ya Mashariki, Morogoro

DSC02649

Mgeni Rasmi Mheshimiwa Prof. Jumanne Magembe akipata maelezo kutoka kwa wafanyakazi wa Shule ya Uchumi Kilimo na Stadi za Biashara kwenye siku ya ufunguzi wa sherehe za 25 za maonesho ya Nanenane kanda ya Mashariki, Morogoro

OUR ADRESS

Dean, School of Agricultural Economics and Business Studies,
P.O. Box 3007,
CHUO KIKUU SOKOINE,
MOROGORO.
Tel: +255 (0) 23 2603415
E-mail: daea@suanet.ac.tz

FOLLOW US

VISITORS

We have 4 guests and no members online